Tuesday, January 3, 2017

MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA WILAYA YA MAKETE ZIMEPELEKEA KUHARIBU NYUMBA 15


Mvua kubwa iliyoambatana na upepo na radi imeezua na kubomoa nyumba kumi na tano wilayani makete kata ya Isapulano
Hali iliyo pelekea watu kukosa mahali pa kulala

No comments:

Post a Comment