Na Riziki Manfred makambako
Hakimu wa Mahakama ya mwanzo Makambako amesongeza mbele Tarehe ya kusikiliza kesi ya uvamizi katika majengo ya halmashauri ya mji wa makambako unayo wakabili madereva wa Bajaj mjini makambako
Awali Akisoma kesi hiyo hakimu wa Mahakama ya mwanzo Makambako mh Jackson Banobi amesema watuhumiwa wakiwa na wenzake walifanya kosa hilo mnamo Tarehe 10 octoba mwaka huu kwakufanya uvamizi katika majengo ya halmashauri ya mji makambako na kuvunja madirisha manne na yenye thamani ya uthaminisho ikiwa milioni 3.3
Kesi hiyo imehiriswampaka Tarehe 20 octoba na watuhumiwa kwa pamoja wamekana kutenda kosa huku wote wakiachiwa kwa dhamana ya mdhamini mmoja
No comments:
Post a Comment