Thursday, June 11, 2015

HABARI ZILIZO TUFIKIA HVI PUNDE

 
 
 
BUS NAMBA ZA USAJILI T174CAV.plus gari lililosabisha ajali, chanzo ni gari l enye namba za usajili T344ACA lilikua limepaki katikati ya barabara bila kuweka alama yoyote, dereva wa basi la bestline alipojaribu kulikwepa akajikuta kaivamia gar nyingne iliyokua ipo service road nakujikuta anajibalaza kuanzia mlango wa abiria mpaka mwisho wa basi, watu wa tatu wanakadiriwa kufa na majeruhi wengine kadhaa, wamekimbizwa hosptali ya mkoa wa singida.
Chanzo: Eric Ndeki

No comments:

Post a Comment