Saturday, September 6, 2014

NJOMBE WAASWA KUCHANGIA MICHEZO


Ilikuhakikisaha michezo inakua na hasa mpira wa miguu wadau mbalimbali wa michezo   mkoani Njombe wametakiwa kuchangia shughuli za michezo kufuatia michezo kuonekana ina zorota mkoani humo

Kwa kuona hilo chama cha mpira wa miguu NJOREFA mkoani humo kimewaalika wadau mkoani hum kuchangia kukamiolisha ujenzi wa ofisi ya chama hicho iliyopo ndani ya uwanja wa sababa ambapo jumla ya wadau 3 wamejitokeza kuchangia ujenzi huo kwa kutoa vifaa vya ujenzi ambavyo ni saruji mabati na mbao ambazo zinagharimu zaidi ya shilingi  milioni moja

Wakizungumza baada ya kutoa msaada huo wadau hao ambao ni Edward Mwalongo na Yaymond ngondola wa mjini Njombe    wamesema wamewiwa kutoa msaada huo kufuatia kutambua umhimu wa michezo na ili kukiwezesha chama hicho kuimarika zaidi kama awanavyoeleza


Wadau wewngine walioshiriki kutoa misaada ya hali na mali katika kufanikisha ujenzi wa ofisi hiyo ni kampuni ya   miwati TANWAT iliyoko eneo la kibena mjini njombe ambao wanasema wanaamua kuchania kufuatia kuona umhimu wa chama hicho kuwa na ofisi kama anavyo eleza rajeer singih na Edmundi mnubi ambao ni wanawakilisha kitengo cha masoko katika kampuni hiyo

Steeven Njowoka ni katibu wa chama cha mpira wa miguu mkoani Njombe  ambaye anasema licha ya mchango huo wa wadau lakini nguvu zaidi inahitajika ili kukamilisha ujenzi huo wa ofisi ambayo Ina zaidi vyumba saba pamoja na ukumbi mdogo wa mikutano

Naye afisa utamaduni mkoa wa Njombe Steeven Sanga anasema kuna umhimu mkubwa kwa wadau wa michezo mkoani hapa kuendelea kujitoa kuchangia shughuli za michezo ili kukuza michezo na iwe chachu ya kuutangaza mkoa huku akieleza kuwa kwa sasa mkoa huo unajipanga kutatua changamoto ya uhaba wa viwanja kwa michezo mbalimbali

Kukamilika kwa ofisi ya chama cha mpira mkoani Njombe kutasaidia chama hi

1 comment: