Chuo cha Daystar kimeanza kupokea wanafunzi kwa muhula mpya
ulikaoanza may 5, 2015.
- Kozi zitolewazo:
- Utangazaji wa radio na televisheni kwa ngazi ya advance certificate na Diploma
- Information Technology (IT)
- Marketing
- Computer
- Video shooting & production
- Teaching (Ualimu wa shule za msingi ngazi ya diploma)
- Public Reration.
Sifa
za muombaji:
- Awe na elimu isiyopungua kidato cha nne na kuendelea
2 Awe na D kuanzia 3 na kundelea
Sifa za chuo
- Ina hostel kwa wasichana na wavulana
- Chuo kimesajiliwa na NACTE kwa no REG/BTP/003
- Ada ninafuu na unalipa kwa awamu
- Inawalimu wa kutosha
- Na inastudio ya kisasa kwa uandishi na utangazaji
Chuo kinapatikana majengo ya nane nane jijini Mbeya katika
jengo la Taso
Wasiliana nasi kwa simu namba: 0656814960
:au
kwa whatapp kupitia no 0763452335
WAHI SASA NAFASI NI CHACHE!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment