Wednesday, April 17, 2013

VETAMAKETE KUNZA MUDA WOWOTE AKTIKA FANI TATU



 Muonekana wa majengo ya chuo cha veta  Makete

Wazazi na wanafunzi wilayani Makete wameaswa kuwapeleka watoto wao walio hitimu elimu mbalimbali ikwemo sekondari katika chuo cha ufundi veta cha wilayani hapa

 akizungumza na mtandao huu kaimu mkuuwa chuo hicho Methew Komba amsema kuwa kumekuwa na muitikio mdogo kwa wakazi wa wilaya hii katika kuwapeleka watoto wao kujiunga na chuo hicho kilichopo wilayani hapa 

bwana Komba amesema kuwa wengi wa watoto hao wamekua wakitoka nje ya wilaya hiyo kwa mpaka sasa kuna zaidi ya wanafinzi 97 walio chukua fomu za kujiunga na chuo hicho kinacho tarajia kuanza muda wowote huku wengi wao wakitoka nje ya wilaya " mpaka sasa tumepokea wanafunzi 97 wangi wao wakitoka nje ya wilaya ya Makete mpaka sasa tunatalajia kuanza masomo muda wowote huku tukianza na fani tatu amabazo ni Uwash,ushoni,na uselemala na baadae sana tutakuwa na fani zingine " alisema Komba

Aidha bwana komba amesema tatito linalo sababisha kucheleweshwa ni kutokana ugumu wa upatikanaji wa vifaa ambavyo ni katika fani za magari na makenika na fani zingine ambaz zitakuwa zikianzishwa kadri vifaa vitakavyo patikana ambapo mpaka sasa bado tuna fuatilia ili kuanzisha mapema iwezekanavyo

No comments:

Post a Comment