siku chache baada ya wabunge kutumia lugha ya matusi bungeni wakati wa unge la bajeti mjini dodoma wananchi wilayani wamekuwa na maoni tofauti kuhusiana na suala hilo
wakitoa maoni yao katika kipindi cha morning power kinacho rushwa na redio ya jamii kutoka wilayani Makete kitulo fm wananchi hao wameonekana kusikitishwa na kitendo cha wabunge hao kuporomosha matusi katika vikao vya bunge la majeti mjini Dodoma .
mmoja ya wachangiaji hao ambaye aijitambulisha kwa jina la Miraji Mtaturu ambaye pia ni katibu wa ccm wilaya ya Makete amehauri wambuge kufuata kanunio na taratibu za bunge ili kuleta maendeleo ya wananchi na taifa kwa ujumla
mwingineanayejulikana kwa jina la Lea Fungo alihoji serkali na bunge kwa ujumla kuwa wanashindwa kuitetea nchi badala yake wanalumbana kwa kutumia lugha chafu jambo ambalo ni jambo la aibu kwa wabunge wananchi na chi kwa ujumla
bunge la 5 linaendelea mjini Dodoma lakni kumekuwa na lugha chafu ambapo katika mkutano wa saba jana tumeshuhudia wabunge wa watano wa upinzani CHADEMA kutolewa na nje baada ya kutoa lugha chafu pia kuomba miongozo mingi zaidi ambapo naibu sipika Job Ndughai kuamuru asikari wa bunge kuwatoa nje ya kumbi wa bunge na kuto hudhulia vikao vitano

No comments:
Post a Comment