Watu wawili wilaya makete
wamefariki dunia katika mataukio mawili tofauti likiwemo la mwanafunzi wa chuo
cha ruko cha mjini iringa
Kujinyonga na waya wa umeme
Akidhibitidha kutokea kwa matukio hayo mkuu wa
polisi wilaya makete SP Peter Kaiza
amesema katika tukio la kwanza mwanafunzi wanafunzi wa chuo cha ruko mjini Iringa kukutwa amejinyonga katika
msitu wa Ikulu
Mkuu huyo ametaja mwanafunzi
huyo kuwa ni Robert Oswad Sanga mkazi wa kitongoji cha kivanga katika kijiji
cha Iwawa ambopa alikutwa akiwa ananing`inia katika msitu wa Ikulu ndogo ambapo
alijinyonga kwa kutumia waya ya umeme
Inadaiwa kuwa mwanafunzi huyo aliiaga familia
yake huku akisema kuwa anaelekea mjini ilinga kuchukua vyeti vyake
Mmoja wa ndugu wa malehemu
alijitambulisha kwa jina la sanga amesema kuwa mwanafunzi huyo alifika nyumbani
hapo kwa kusalimia familia
Wakati huohuo mtu mmoja aliyetambulika kwa
jina joseph mwambejero mkazi wa uyole
amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akisafiria lenye nambari t 724 isuzu track kuporomoka
Tukio hilo
lilitokea baada ya dereva wa gari hilo aliliacha
katika muugulumo na baadaye gali hilo
lilianza kuporomoka na kusababisha kifo cha joseph
Baada ya tukio hilo dereva wa gali hilo
alitokomea kusiko julikana
No comments:
Post a Comment