WATU watatu ambao ni Nickson Mapunda,Philbert Njesele wakazi wa wilayani Kilombero na Almasi Hassan mkazi wa Kilwa wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kupatikana na meno ya tembo vipande 55 vyenye thamani ya yak zaidi yak milioni 320.
Mrakibu mwandamizi wa jeshi la polisi John Laswai amesema watu hao wamekamatwa jana majira yak katika eneo la Doma wilayani Mvomero baada ya askari polisi kupata taarifa kutoka kwa raia wema kuwa kuna gari lenye namba za usajili T 468 BMK aina ya GX mia kutiliwa shaka, baada yak kukataa kusimama katika kituo cha ukaguzi cha maliasili.
CHANZO;CLOUDS FM
No comments:
Post a Comment