DAR ES SALAAM P.O. Box 90489 DAR ES SALAAM
CITY COLLEGE TEL: +255
022 – 2420419
MOBILE: +255 714 – 689807
E-mail: daccollege2000@yahoo.com
(PROVIDING OPPORTUNITIES WORLDWIDE)
DAR ES SALAAM CITY COLLEGE (DACICO)
TAASISI YA UANDISHI WA HABARI NA UTAWALA
Kinatangaza nafasi za
masomo katika ngazi ya Cheti na Diploma kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita kwa
kampus zake zilizopo Dar es salaam na Mbeya, Katika kozi zifuatazo:-
-Journalism and MassComm (uandishi wa habari na mawasiliano ya
umma).
-Human Resource management(Usimamizi rasilimali watu)
-Public Relatins (Mahusiano ua Umma)
-Internatinal Relations&Diplomacy (Mahusiano ya kimataifa)
-Business Administration (Uongozi wa biashara)
-Radio &TV Broadcasting (Utangazaji wa radio na TV)
-Community Development ( Maendeleo ya jamii)
-Procurement & Supply management (Mnunuzi)
-Secretarial courses (kozi za usekretari)
-Accountancy (uhasibu)
-Record Management (usimamizi wa kumbukumbu)
Chuo kina usajili wa kudumu toka NACTE, na kina zaidi ya miaka
kumi, wahi nafasi ni chache, muhula mpya utaanza tar.1/4/2013. Fomu za kujiunga
ni Tsh.10,000.
Kwa kupata form na mawasiliano piga:- 0655452335/0763452335 kwa wakazi wa MKOA WA NJOMBE muone riziki Manfred au
bonzumaAU FIKA REDIO KITULO MAKETE
Pia unaweza kupata form kupitia rizikimgaya blog w
nawezakujiunga kwangazi ya chet ktk mass comm &jornarism
ReplyDeletekm nikiwa nina ufahuru wa c-kiawahili d-english na d-geography naweza kusoma ngazi ya cheti ktk mass commoncation & jonarism
ReplyDeleteNina c1 na d2 nawezakujiung na chuo
ReplyDeleteNina pass ya d moja na e mwaka 2014 naweza kujiunga na chuo chenu?
ReplyDeleteNina pass ya d moja na e mwaka 2014 naweza kujiunga na chuo chenu?
ReplyDeletemimi nina B-English,C-Kiswahili na B-ya historia naweza kujiunga
ReplyDelete