RC Mbeya Abas Kandoro
HALMASHAURI ya wilaya ya Mbarali mkoani
Mbeya, imewafukuza kazi na kuwaonya baadhi ya watumishi wa halmashauri
hiyo kutokana na vitendo vya ubadhilifu.
Taarifa kutoka Mbarali mkoani Mbeya zimesema kuwa kikao cha madiwani kilichofikia maamuzi hayo kiliketo Februari 11,2013.
Walioazimiwa kufukuzwa ni mhasibu wa wilaya hiyo Frednand Nomyere, mtakwimu wa wilaya hiyo ambaye alikuwa akikaimu nafasi ya mipango Bakari Ramadhani, Ofisa mtendaji wa kata ya Rujewa Ponsiano Ngwando na Ofisa mtendaji wa kata ya Madibila ambaye awali alikuwa kata ya Ubaruku Mikidadi Mwazembe.
Wengine ni Mkaguzi wa ndani wa wilaya hiyo Englibert Maro na diwani wa kata ya Ubaruku George Mbila.

No comments:
Post a Comment