Wednesday, February 27, 2013

ALIYE MUUA MTEJA WA NMB MAKETE A

mwendelezo  wa habari wa habri ya aliye muua mteja NMB anaitwa jose msukuma na aliye uwawa ni mwalimu wa shule ya msingi Ujuni alikuwa akitoka na ndipo alipo amuliwa kugeuka na alipo jalibu kusongelea kwenye kibanda cha lindo alipingwa risasi 2 ikiwemo ya kifuani ambayoa ilipelekea mauti 

No comments:

Post a Comment