Maelezo ya chanzo ya nishati ya umeme Lupembe
Zaidi ya Kaya Elfu 20 za Tarafa ya Lupembe Mkoani Njombe
zinatarajia Kunufaika na Mradi wa Umeme wa Nguvu ya Maji Kutoka Chanzo cha Mto
Ikondo Utakaozalishwa na Matembwe Villege Company Limited Ifikapo Mwaka
2014.
Akizungumza na MTANDAO HUU Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Hiyo Bwana Yohanis Kamonga Amesema Hadi Hivi Sasa Tayari Zaidi ya Wakazi 720 Zikiwemo Taasisi za Serikali na Zisizo za Kiseriklai za Kata ya Matembwe Zimepatiwa Umeme Unaozalishwa na Kampuni Hiyo Kutoka Chanzo cha Mto Nyave Kilichopo Kata ya Matembwe.
Aidha Mkurugenzi Huyo Mtendaji Amesema Kuwa Umeme Utakaozalishwa Kutoka Chanzo cha Mto Ikonda Utatoa Kilowatt Mia Nne , Ambao Utaonganishwa na Umeme wa Kilowatt 120 Kutoaka Chanzo cha Mto Nyave Uonatumika Hivi Sasa Ili Kuongeza Nguvu.

Kwa Upande Wao Wakazi
na Wadau wa Maendeleo Tarafa ya Lupembe Wamelipongeza Kampuni Hilo Kwa
Kuwasongezea Huduma ya Nishati Umeme na Kusema Kuwa Mradi Huo Utawapunguzia
Tatizo la Upatikanaji wa Umeme wa Uhakika Unaowakabili Kwa Sasa Wakazi wa
Tarafa Hiyo
Takribani Vijijini Saba Vya Tarafa ya Lupembe Vinataraijia Kunufaika na Mradi Huo Huku Vijiji Vilivyo na Nishati ya Umeme Vitapata Fursa ya Kufungiwa Njia Nyingine za Umeme.
No comments:
Post a Comment