Jeo katika pitapita zangu niliona AMBULANCE ya pikipiki ikiwa imetelekezwa nje ya jengo la hospitari ya wilaya ya Makete
Ndipo nilipo lazimika kuingia hadi ndani kutaka kuongea na mganga mkuu wa wilaya (DMO) ndipo alipoweka wazi kuwa mpaka pikipiki hizo zazijatelekezwa bali zimehifadhiwa ili kwaajili ya kuzipeleka katika moja ya vituo vya afya wilaya hapa lakini kwa sasa bado wanajipanga jinsi za kusafirisha pikipiki hizo nilipohoji kwani hazikuhifadhiwa sehemu husika alikili kuwapo na upungufu wa sehemu ya kuhifadhiwa
Ikimbukwe pikipiki hizo zilitolewa ilikusaidi huduma ya afya hivi karibu baadhi vyombo vya habari vimenukiliwa juu ya wilaya ya Kyela kutaka pikipiki hizo zituimike na waunguzi wa afya ya msingi kusafiri jambo ambalo si madhumunu ya pikipiki hizo
No comments:
Post a Comment