Monday, November 12, 2012

MAAFA MAKUBWA YATOKEA MJI WA NJOMBE


katika kijiji  cha Nundu

 Licha ya nyumba kuezuliwa na kuvunjwa kwa miti lakini maafa mengine ni ya miti kuangukia nyumba.
Miti nayo yavunjwavunjwa katika mitaa mbalimbali mjini Njombe hususani kibena.
Hadi majira ya saa sita mchana ya leo barafu ilikuwa imetandaa mitaani katika mitaa ya kibena,Kihesa,Mjimwema na maeneo ya NUNDU ambako nyumba 35 ziliezuliwa.

Hii ndio hali ilijitokeza baada ya kuanguka kwa mvua kubwa mjini Njombe.

Wakati mitaa ya kibena mjini Njombe ikikumbwa na maafa baada ya kutokea kwa mvua kubwa

iliyoambatana na upepo mkali nako kijijini Nundu katika halmashauri ya mji huo maafa hayo

yamezikumba nyumba 35 zikiwemo mbili za walimu.

MTANDAO HUU Umefika kijijini humo na kushuhudia nyumba zilizoezuliwa pamoja na kuteketeza mazao

yalikuwa shambani pamoja na

No comments:

Post a Comment