Mwadini
Ali akiruka bila mafanikio kuokoa mpira uliopigwa na Felix Sunzu na
kuipatia Simba bao la kusawazisha katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom
Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-1.
Kocha wa Azam, Boris Bunjak na Msaidizi wake, Kali Ongala wakishuhudia kipigo
Azam wakipiga ndiki kabla ya mechi
Nahodha wa Simba, Juma Kaseja akisali kabla ya mechi
No comments:
Post a Comment