Bao pekee
la Mikel Arteta dakika za lala salama, limeipa Arsenal ushindi wa 1-0
dhidi ya QPR jioni hii kwenye Uwanja wa Emirates katika mchezo wa Ligi
Kuu England, ambao ilishuhudiwa kiungo Jack Wilshere akirejea kwenye
kikosi cha The Gunners baada ya zaidi ya mwaka wa kuwa nje kwa
majeruhi.

Mikel Arteta akishangilia

Arteta anafunga

Jack Wilshere amerudi


Bacary Sagna amecheza mechi ya kwanza msimu huu

No comments:
Post a Comment