Sunday, April 29, 2012

PONGEZI KWA VIONGOZI ISAPULANO

Viongozi wa serikali ya kijiji cha Isapulano wilayani
Makete wamepongezwa kwa kutoa ushirikiano
mzuri wakati wa ukaguzi wa usafi wa mazingira
katika nyumba za wananchi wa kijiji hicho katika
mitaa yote iliyopo kwenye kijiji hicho
Wananchi wilayani Makete wameshauriwa
kutopuuza maagizo yanayotolewa na
madaktari wa mifugo kuhusu kupeleka mifugo
yao kupatiwa chanjo na matibabu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Ban Ki-Moon
amemteuwa Jenerali Robert Mood aongoze tume ya
wasimamizi wasiokuwa na silaha wa Umoja wa
Mataifa nchini Syria.
Kwa mujibu wa idara ya upelelezi ya
Marekani,mtandao wa kigaidi wa Al Qaida hauna
tena nguvu za kufanya mashambulio makubwa
kama yake ya September 11 mwaka 2001.

No comments:

Post a Comment