Kamanda
wa jeshi la polisi mkoa wa Njombe Fulgency Ngonyani {RPC Njombe
}.
Kamanda wa Polisi Mkoani Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi Fulgency Ngonyani Amethibitisha Kutokea Kwa Tukio Hilo na Kusema Kuwa Tukio Hilo Limetokea January 12 Mwaka Huu Majira ya Saa Tisa na Nusu Alasiri Ambapo Jeshi Hilo Bado Linaendelea na Uchunguzi Ili Kuweza Kubaini Chanzo Cha Tukio Hilo
Aidha Katika Tukio Jingine Jeshi la Polisi Mkoani Njombe Limewataka Wananchi Kutoa Ushirikiano Utakaosaidia Kupatikana Kwa Ng'ombe Watatu Kati ya Sita wa Bw Oseer Mkata Wanaodaiwa Kuibwa Mnamo Januri 13 Mwaka Huu Majira ya Saa Nane Usiku.
No comments:
Post a Comment