Pichani Mkazi wa Buza nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Eusedia
Donald, (katikati) akipokea zawadi ya simu aina ya Nokia 302 kwenye duka
la Vodacom lililopo eneo la Mlimani City Dar es Salaam jana, kutoka kwa
Meneja Mauzo wa duka hilo Salim Salmin (Kulia) kufuatia promotion ya
shinda na Nokia inayoendelea. (Kushoto) ni mwakilishi wa Nokia Magreth
Tendwa
Pichani Mkazi wa Buza nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Eusedia Donald, (katikati) akipokea zawadi ya simu aina ya Nokia 302 kwenye duka la Vodacom lililopo eneo la Mlimani City Dar es Salaam jana, kutoka kwa Meneja Mauzo wa duka hilo Salim Salmin (Kulia) kufuatia promotion ya shinda na Nokia inayoendelea. (Kushoto) ni mwakilishi wa Nokia Magreth Tendwa
No comments:
Post a Comment