Hapa watoto wengine wakivizia wateja
Mtoto huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja akipita eneo la mabehewani wilayani hapa kutafuta mteja wa kununua mkaa
Hiki ni kijiwe ambacho watoto hao huvizia wateja wa mkaa baada ya kuzunguka mitaani bila mafanikio
Mtandao huu umebaini kuwa watoto hawa hutumwa na wazazi ama walezi
wao kuuza mkaa kwani watu wakiwaona watoto wakiuza mkaa eti watawaonea
huruma na kuununua haraka kuliko akiuza mtu mzima!
CHANZO: eddymoblaze.blogspot.com
No comments:
Post a Comment