Saturday, December 15, 2012

MWANAMKE AJIFUNGUA MTOTO ANAYEFANANA NA CHURA!

Hujafa hujaumbika......

Mwanamke mmoja  amejikuta katika  wakati mgumu  baada  ya  kujifungua  mtoto mwenye  uso  na  kichwa kama  chura.......

Mwanamke  huyo  ambaye ni mama  wa  watoto  wawili  amedumu na mimba hiyo kwa miezi  13...Wengi  waliamini kuwa  mama  huyo  alikuwa  na  mimba ya  mapacha.......

Akiongea  kwa huruma, mume  wake  amedai  kuwa  kuna mkono  wa mtu. maana nyoka hawezi kuzaa  ng'ombe na kondoo  hawezi  kuzaa samaki......

Yeye  pamoja na mkewe wameamua kumwachia mungu na kwamba wapo tayari  kumlea mwanao japo ana kichwa cha  chura.....

No comments:

Post a Comment