Friday, December 14, 2012

HAWA ASKARI MAGEREZA NI BALAA...


 Katibu Mkuu katika Wizara wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mbaraka Abdulwakil akikagua Gwaride la Wahitimu wa Mafunzo ya Awali, Kozi namba 26, Katika Chuo cha Magereza Kiwila, Kilichoko Mkoani Mbeya.

 KWA ! KWA ! KWA ! KWA ! KWA ! KWA !....Gwaride Hilo mbele Ya Mgeni Rasmi, Mheshimiwa Mbaraka Abdul Wakili.

 Kudaaadeki....Hapa Hasumbui Mharifu au Jangiri yeyote...Tumeiva vilivyo..wewe binafsi ukijaribu hii bila mafunzo tuliyopata, Lazima Uchafue Hewa..



 Wahitimu wa Mafunzo hayo wakionesha Umaridadi wa Kujihami dhidi ya Maadui au Wavamizi, au Waharifu

Jesca Simatya akipokea Tuzo ya Heshima kwa Kuwa Mwanafunzi Bora kwa Usafi Chuoni Hapo

No comments:

Post a Comment