AJALI MBAYA YATOKEA MBEYA
Ajali
mbaya imetokea eneo la ILEMI Jijini MBEYA muda huu ambapo gari aina ya
TOYOTA LANDCRUISER iliokuwa ikitokea chunya imegonga watu watatu huyu
ni mmoja wa waliogongwa sikiliza Bomba Fm kwa habari zaidi na usikie
mashuhuda wanachokisema.
SAMAHANI KWA PICHA HII NIMELAZIMIKA KUIWEKA ILI UPATE HALI HALISI YA KILICHOTOKEA.
No comments:
Post a Comment