Sunday, December 9, 2012

TRAFIKI WASABABISHA AJALI KISHA WATIMUA WAMWACHA JAMAA ANAGALAGALA CHINI KWA MAUMIVU MBEYA

Jamaa ambae jina lake halikuweza kupatikana alisukumwa na trafiki waendesha pipipiki na jamaa huyo nae alikuwa anaendesha pikipiki  ilikuwa kama sinema kwani jamaa baada ya kuangushwa trafiki hao mmoja alikuja kumuangalia alipomuona jamaa analalamika kwa maumivu akaamua kutimka 







Kidogo askari huyu apate kichapo kwa wananchi wenye hasira kali paada ya kuona kuwa wanausalama hao wa barabarani ndiyo waliosababisha ajali hiyo kiuzembe




Mwenzake kuona mambo magumu kaamua kugeuza pikipiki yao ili watimke


Jamaa huyo anaondoka kama yupo vile yaani nikituko hicho hawakurudi tena eneo la tukio


Jamaa anasaidiwa na wasamaria wema kumpeleka hospitali






picha na mbeya yetu

No comments:

Post a Comment