Saturday, November 3, 2012
85 WAHITIMU MAFUNZO YA MGAMBO MAKETE
Jumla ya wanamgambo 85 kutoka katika kata ya Iwawa wameitimu mafunzo ya mgambo hii leo katika viwanja vya Joshoni Wilayani Makete
Mmoja kati ya wanamgambo waliohitimu mafunzo hayo hii leo bwana Aldo sanga Akionyesha uwezo wakutumia siraha
mgeni rasimi Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro akitoa hotuba katika ufungaji wa mafunzo hayo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment