Leo hii nimetembelea katika chuo cha shukura kilichopo wilayani Makete kinachomilikiwa na IDYDC kinacho toa elimu ya ufundi katika fani tatu uwashi,uselemala,na kushona nakujionea matatizo na changamoto mbalimbali na mafanikio chuoni hapo
wanafunzi chuo cha shurani Makete kilicho chini ya IDYDC wakiwa katika karakana yao (picha na bonzuma)
mwandishi wa habai Kitulo fm Aldo Sanga akizungumza na wanachuo chuoni hapa
mwanafunzi akiwa katika mazoezi chuoni hapa
No comments:
Post a Comment