Na Riziki mgaya Makete
Siku chache baada ya NEC
kutangaza tarehe za uchaguzi kwa baadhi ya kata zilizo kuwa wazi tayari uongozi
wa chama cha mapinduzi kimesha anza mikakati ya ushindi ni baada yah ii leo
kumsindikiza mgambea wao kupitia chama hicho kuchukua fomu ya kugombea udiwani
kata ya Luvumbu.
Akiongoza msafara huu katibu wa chama hicho bwana Milaji Mtaturu
pamoja na viongozi wengine amefika mapema hiii leo kwa ajili ya kuakikisha
wanamsindikiza mgombea wao kuchua fomu ya kuwa mgombea wa udiwani katika kata
hiyo baada yaaliyekuwa diwani wa kata hiyo kufariki dunia mapema march mwaka
huu .
Kata hiyo iliyo kuwa ikiongozwa na chama
cha mapinduzi tangu 1995 mpaka sasa hakuna cha chochote cha siasa kilicho wai
kushinda katika kata hiyo hivyo kukipa nafasi chama cha mapinduzi kushinda
katika uchaguzi huo .
Rizikimgayablogspot itaendelea kukupa
kinacho endelea katika uchaguzi huu lakini pi a shurani kwa Ellymethew Kika kwa
kulipoti moja kwa moja kutoka katani Luvumbu
No comments:
Post a Comment