Friday, March 3, 2017

TIRA yatoa elimu umhimu wa Bima Makete

Na mwandishi watu 
Makete
Mamlaka ya usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imetoa Elimu ya Bima kwa Wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Veta Makete na Wananchi wa kijiji cha Tandala na kuwaeleza maana ya Bima na umuhimu wake kwa Mwananchi

Meneja wa Bima kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Hillard Maskini amesema Bima inaumuhimu Mkubwa katika kumsaidia mtu pale anapopatwa na Janga kama Ajali, Moto, Wizi n. k

Pia amesema Bima inalinda Biashara yako, kupata fidia ya Moto, ajali, Wizi ambapo Unaweza kupatwa na janga la aina hiyo kama ni MwanaBima utalipwa fidia yako






Meneja wa Bima kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Hillard Akitoa elimu juu ya umhimu wa Bima 

No comments:

Post a Comment