Friday, February 24, 2017

Hekari 50 za bangi zateketezwa Makete

Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher olesendeka, Mkuu wa wilaya ya Makete Veronica Kessy kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wameteketeza mashamba ya bangi Katika kata ya Mlondwe wilayani Makete.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Christopher Olesendeka ateketeza Bangi zaidi ya Hekari 50 iliyokuwa ikilimwa kwa kilimo cha Umwagiliagi katika mapori yaliyopo kijiji cha Ng'onde kata ya Mlondwe Wilayani Makete

Kwa hisani ya kitulo Fm radio makete

Mkuu wa wilaya ya Makete Veronica Kessy kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wameteketeza mashamba ya bangi Katika kata ya Mlondwe wilayani Makete 

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher olesendeka aliye vaa suti nyeusi akiwa na vyombo vya ulinzi na usalama wakiteketeza mashamba ya bangi Katika kata ya Mlondwe wilayani Makete 

No comments:

Post a Comment