Akiwa katika awamu ya pili ya kupambana na Biashara ya madawa ya kulevya Makonda ameagiza: Wafuatao (Watu 65) wakutane katika kituo cha kati cha Polisi cha Kanda maalumu ya Dar es salaam Siku ya Ijumaa ambapo miongoni mwao ni, Aikaeli Mbowe, mchungaji Gwajima, Yusuph Manji, Mmiliki wa Slipway ambae analo eno la kupaki boti, mmliki wa yatchclub, mmiliki wa MMI, Mwinyi Machata, Rose ambae ana mtandao mpana, Kiboko, Mbunge mstaafu Iddi Azan, Pamba kali.
Kuhusu ishu ya Agness Masogange iliyosemwa na Wema Sepetu: Mimi nina kifua cha kuhimili mikiki yote, kwa hiyo ni kama ina niongezea nguvu, sasa wewe umekamtwa unashindwaje kumtaja muhusika akakamatwa?
No comments:
Post a Comment