Sunday, November 6, 2016

Tanzia Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta
amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati
akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.Taarifa
za kifo chake zimethibitishwa na Mwanae
Benjamin Sitta.
Mungu aiweke Roho ya marehem mahali
pema peponi ...Amina

No comments:

Post a Comment