Na Riziki Manfred
Makete
Mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa katiba eneo la kidogo kijiji cha Ndulamo upo katika hali za umaliziaji tayari kwa kutumika.
Akizungumza na bonzuma Meadia Group Mtendaji wa kijiji cha Ndulamo ndugu Moses Joseph mbwillo amesema ujenzi huo wa madarasa mawili uyakamilika hivi karibuni na kufanya kila ya vyumba 5 vya madarasa (mradi huu una miezi mitatu tu nafikiri pia mradi uliopita wa madarasa 3 tayari ulishakamilika muda mrefu na vyoo matundu saba vilikamilika kitambo haya ni mapya hivyo tutakuwa jumla na madarasa 5,vyoo matundu 7 na ofisi moja) alisema Mbwillo
Kitongoji hicho cha kiduga kimeeanza ujenzi huo baada yakuona adha wanayoipaya watoto wao baada ya shule ya msingi Ndulamo kuwa mbali
Hata hivyo baada ya kukamilika kwa madasa hayo mapema January wataanza kupokea wanafunzi shuleni hapo
No comments:
Post a Comment