Siku ya kwanza ya mwezi September 2016 imekua ikitajwa sana kwenye headlines siku za karibuni na ni baada ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutangaza kufanya maandamano nchi nzima, maandamano ambayo hata hivyo vyombo vya dola viliyapiga marufuku.
Baada ya vichwa vyote vya habari na
kwamba siku hii Jeshi la Wananchi wa Tanzania limeamua kuitumia
kuadhimisha miaka yake 52, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe leo
August 31 mbele ya waandishi wa habari Dar es salaam ameyasema
yafuatayo.
>> ‘Tunaahirisha mikutano, maandamano UKUTA kwa mwezi mmoja ili kutoa fursa kwa viongozi wa dini kutafuta muafaka-Mbowe‘ – Freeman Mbowe
No comments:
Post a Comment