Baraza la mitihani nchini(NECTA) leo Februari 18, 2016 limetoa matokeo
ya mtihani wa kidato cha nne iliyofanyika mwishoni mwa mwaka 2015.
Ufaulu umeshuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015.
BONYEZA HAPA KUONA MATOKEO
http://tanzania.go.tz/matokeo_2015/Olevel.htm
No comments:
Post a Comment