WANANCHI WAENDELEA KUMIMINIKA KUPIMA
AFYA ZAO, JUZI WATU WATATU WALIPATIKANA NA SUKARI 200 HALI AMBAYO NI
HATARI, MNAOTAKA KUJA HAPA VIWANJA VYA SOKOINE MBEYA KWENYE MAAZIMISHO
YA MEI MOSI MNAWEZA KUPIGA SIMU 0754 440749 KAMA WANAVYOFANYA WENGINE
WAKIONA KWENYE MTANDAO HUU WA www.rizikimgaya.blogspot.com KARIBUNI KUPIMA NI BURE.
MKURUGENZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya naye amejitokeza kupima bure ugonjwa wa kisukari na Shinikizo la damu(BP) katika banda la mfuko wa Taifa wa bima ya Afya lililopo katika viwanja vya sokoine Mbeya inakoazimishwa siku kuu ya wafanyakazi kitaifa nchini Tanzania.
Alipohojiwa na kalulunga blog,amesema kuwa huduma hiyo ni muhimu ambapo mwananchi akifika katika hospitali ya Rufaa ya Mbeya analazimika kulipia huduma hizo kuanzia kiasi cha Tsh. 10,0000.
Upimaji wa Kisukari na Shinikizo la dmu ukiendelea katika banda la NHIF
Baadhi ya maafisa wa NHIF mkoa wa Mbeya wakiwa kwenye banda lao na baadhi ya wananchi waliojitokeza kupima afya zao.
Maafisa wa NHIF wakijadiliana jambo huku baadhi wakiangalia moja ya makala inayowahusu iliyochapishwa kwenye Gazeti la Uhuru.
Baraka Maduhu ambaye ni afisa wa Bima ya Afya akipima Shinikizo la damu kwenye banda la NHIF Sokoine Jijini Mbeya.
Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya Dr. Samkey, akipima uzito na urefu kabla ya kupima Shinikizo la damu na Kisukari.
Wananchi wakiendelea kumiminika kwenye banda la NHIF kupima afya zao.
Juu na chini, tunapima uzito na urefu.....
Mwananchi akipata ushauri kwa Daktari baada ya kupima kisukari na Shinikizo la damu.
Maandamano yakiingia uwanjani na kupkelewa na Rais Jakaya Kikwete
Baadhi ya maafisa wa bima ya afya wakiwa na Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya Dr. Samkey akipima uzito na urefu wake.

LIVE..BIMA YA AFYA INAPIMA BURE KISUKARI NA SHINIKIZO LA DAMU VIWANJA VYA SOKOINE MBEYA KUAZIMISHA MEI MOSI MGENI RASMI RAIS JAKAYA KIKWETE
MAANDAMANO YALIYOANZIA KABWE MWANJELWA YAKIELEKEA UWANJA WA SOKOINE MBEYA.
WANANCHI WAKIPIMA AFYA ZAO NA KUPATA USHAURI KUJUA KAMA WANA KISUKARI AU SHINIKIZO LA DAMU(BP) KATIKA VIWANJA VYA SOKOINE JIJINI MBEYA.
HUDUMA HII INAISHIA LEO HIVYO WANANCHI WALIOJIRANI WANAWEZA KUSOGEA. BANDA LIPO MKONO WA KUSHOTO UNAPOINGIA GETI KUBWA.
IDADI KUBWA WANAOJITOKEZA KWA SASA NI WANAUME....
No comments:
Post a Comment