Wednesday, May 22, 2013

HII NI SEHEMU YA BARABARA YA IRINGA - DODOMA ITAKAYOWEKWA JIWE LA MSING LEO NA RAIS JK ITAGHARIMU BILIONI 222



Hapa  ni eneo la simani  wilaya ya Iringa vijijini  ujenzi  uiendelea na hii ni kazi nzuri a  Tanroads mkoa  wa Iringa katika  usimamizi barabara hii itakayofungua  fursa  kwa  mikoa ya  kusini itagharimu zaidi ya Tsh bilioni 222 na  leo majira ya saa 3 asubuhi  itawekwa jiwe la msingi na Rais Jakaya  Kikwete

No comments:

Post a Comment