BIMA YA AFYA (NHIF), IMEMFIKISHA MAHAKAMANI DAKTARI WA HOSPITALI YA AGHA KHAN KWA TUHUMA ZA KUGUSHI FOMU ZA BIMA NA KUJIPATIA MALI KWA NJIA YA UDANGANYIFU
Kulia ni askari kanzu akiingia na
watuhumiwa mahakamani ambapo katikati ni Dr. Mashika E. Mashika wa
hospitali ya Agha Khan Mbeya na kushoto ni Ali Hassan Kinjibi wa
hospitali hiyo wakiingia mahakamani leo asubuhi.
Baada ya kushitukio kuwa kuna waandishi
wa habari na wanapiga picha akaanza kujiziba sura akipandishwa katika
ghorofa ya mahakama ya wilaya ya Mbeya.
Bango hili la bima ya afya lipo kwenye mbao ya matangazo unapoingia ndani ya Mahakama hiyo.
Sheria tayari imechukua mkondo wake na
hapa nyuma ni askari kanzu wawili wakiwa wanawaongoza Dr. Mashika E.
Mashika na Ali H. Kinjibi kwenda mahabusu iliyomo ndani ya mahakama hiyo
ya wilaya ya Mbeya.
Aliyebeba mtoto ni mshitakiwa Advera Haule akiingia mahakamani hapo akiwa anatia huruma...
Kushoto ni askari kanzu akiwa na Advera wakiingia mahakamani hapo na kulia ni ndugu wa Advera.
DR. Mashika
Elineza Mashika wa hospitali ya Agha Khan Jijini Mbeya na wenzake wawili,
wamefikishwa mahakamani leo kwa makoa zaidi ya 100 ya kugushi nyaraka za mfuko
wa bima ya afya na kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu na kusambaza nyaraka
zisizo halali.
Mwendesha mashitaka wa serikali Achiros Mlisa mbali na Dr.
Mashika, aliwataja washitakiwa wengine kuwa ni Ali Hassan Kinjimbi na muuguzi Advera Haule anayekabiliwa
na makosa saba
No comments:
Post a Comment