hiki ni choo cha shule ya msingi ndulamo huku kinyesi kikiwa nje ya choo chanzo ni kukosekana kwa maji
Mtendaji wa kijiji cha ndulamo Majuto Mbwillo
hiki ni kinyesi nje ya choo
Afya za wanafunzi wa shule ya msingi ndulamo ipo hatarini baada ya vioo wanavyo tumia shuleni hapo kuziba kwa kukosa maji takribani wiki mbili ambopo baadhi ya wanafunzi wamelipotiwa kuumwa matumbo na kuhara
Akizungumza na wanahabari ofisini kwa mkuu wa shule hiyo bwana bosco godigodi
malangalila amesema kuwa wamekuwa wakipata shida juu ya suala hilo ambapo walimu na wazazi hulazimika
kufanya usafi huku wanafunzi wakiacha masomo na kwendda kutafuta maji
mtanda huu ulifika katika shule hiyo nakujionea hali halis
ambopo mpaka sasa vyoo vimeziba na wanafunzio hao wanalazimika kujisaidia nje
ya choo hali ambayo nihatari kwa afya
wakitoa malalamoko wanafunzi wasema "tunashidwa hata kuwa na raha ya shuleni kutokana na hali ya vyoo hivi hasa sisi wasichna mpaka tukimbie msituni ndipo tujisaidi vinginevyo hali inakuwa ngumu angalia yule pale hana viatu anakwenda chooni kweli tutakosa magonjwa hali yenyewe vinyesi vitupu hadi malangoni kweli hadi walimu wanashindwa kuwa na raha katika masomo kwetu kwanza hata harufu si nzuri tunapata shida kama serikali na viongozi wenine watupatie msaada
Awali tulipata fursa ya kuzungumza na wazazi ambao
wameleezwa kusikitishwa sana
na hali hiyo nakuimba serikari kuliona tatizo hili kama tatizo laohuku wakisema hali hiyo imetokea baada ya kijiji hicho kuwa kupata mradi
wa maji ambapo mpaka sasa maji hayo yamekuwa adimu baada ya mabomba
yalitandikwa kuwa mabovu na kupasuka hali ambayo inawalazimu wananchi hao
kuchanga na kuanza kujenga mradi mwingine kwa gharama yao ambapo mpaka sasa
wana subiri rola nane alizo ziahidi mbuge wakati wa ziara yake huku 5 zikinunuliwa
na wananchi wenyewe kwa michango yao amapo awali mradi huo ulighari zaidi ya shilingi milioni ishrini na tisa
katika uchuguzi uliofanya na mtandao huu umegundua kuwa kijiji hicho baada ya kupata mradi huo kilitafuta mkandalasi ambaye angeweza kutekeleza mradi huo nawalipo peleka katika ofisi ya mwandisi wa maji alilikataa jina hilo na badara yake kumleta mwandi wa kampuni ya serenga limited ambayo ilileta mabomba ambayo yanapasuka huku .
mtaalamu kutoka ofisi ya wilaya akipima na kulidhia ubora wa mabomba hayo ambapo mtandao huu umegundua kuwa mabomba hayo hutuka kupitishia nyaya na sio kupitisha maji ambapo kwa ardhi ya kijiji hicho inatakiwa bomba la clasC huku bomba linalo tumika ni clas A jambo lilopelekea kwa tatizo hilo
No comments:
Post a Comment