WANANCHI WA KATA YA MBALACHE WILAYANI
MAKETE LEO WAMEPATIWA ELIMU YA SHERIA YA ARDHI NA UMULIKISHWAJI WA ARDHI.
AKIZUNGUMZA NA
WANANCHI WA KATA HIYO KATIKA MKUTANO HUO
AFISA ARDHI WA WILAYA MAKETE BW:ANIKASI VILUMBA AMESEMA WANANCHI WANATAKIWA
KUJUA SHERIA YA ARIDHI NA UMILIKISHWAJI,AMBAPO ITAWASAIDIA KUONDOKANA NA
MIGOGORO YA ARIDHI INAYO WAKABILI KATA MAENEO MENGI HAPA TANZANIA.
HATA HIVYO WANANCHI
WAMESHAURIWA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI VITAKAVYO WASAIDIA UPATIKANAJI WA MAJI KWA
URAHISI NA KUTAKIWA KUACHA UMBALI WA MITA 60 KUTOKA KATIKA CHANZO CHA MAJI.
No comments:
Post a Comment