MTUMISHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA AFA KWA AJALI
Watumishi wa mahakama mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja hivi karibuni.
Habari za kusikitisha zilizoufikia
mtandao huu zinadai kuwa mtuhishi mmoja wa mahakama kuu kanda ya
Iringa aliyetambuliwa kwa jina la Lumumba Mbewa amefariki
dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kugongwa na gari eneo la
Miyomboni katika barabara kuu ya Iringa- Dodoma jana usiku wakati
akivuta barabara na gari lililomgonga kukimbia.
Habari kamili na taratibu za mazishi utazipata hapa mara zitakapotufikia
No comments:
Post a Comment