Habari zilizotufikia mchana huu zinasema,Mbunge wa
Chambani(CUF),Salim Hemed Khamis aliyeanguka ghafla jana katika Vikao
vya kamati ya Bunge,amefariki.
Amefariki katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
mipango ya mazishi na kumsafirisha inafanyika, kwa habari zaidi ungana
nasi baadae. au soma gazeti la mwananchi kesho.
No comments:
Post a Comment