Watoto watano wilayani makete majina yanahifandhiwa wamesadikika ni wanachama wa kikundi cha freemasony baada yakufanya majabu wakiwa shuleni mbele ya walimu wao
wanafunzi hao wanao sana darasa la saba katika shule msingi Iwawa wanasadikika kuwa ni wanachama wa kikundi cha fee masony wakizungumza na mtanda huu watoto hao wamesema walipewa nguvu za kuweza kufanya majabu na watu wasio julikana ambao walivalia mavazi ya kiisilamu (baibui)baada ya kupewa nguvu hizi watoto hao wamekuwa wakifanya majabu baada ya juzi kumfunga mmoja ya walezi wa watoto hao alipo itwa shuleni hapo kutolea ufafanuzi kuhusu jambo hilo
mtanda huu ulifaninikiwa kuongea na mmoja ya wazazi wamtoto huyo amesema mtoto huyo amekuwa akisinzia bila sababu hasa nyakati za mchana na pindi anapo amshwa huwa mchovu sana kama anaumwa
nalipoulizwa mtoto huyo alisema wamekuwa wakiitwa nyakati za mchana iwapo kumetokea dharula .
Watu waliofika shuleni hapo washangazwa na kauli ya mtoto mmja kutamka kuwa yeye akiwa kuzimu ni baba watoto wawili na ameoa .
Mwalimu mkuu wa shule hiyo amesema wanatarajia kuitisha kikao cha wazazi pamoja na watoto hao tarehe 03 02 wakiwa pamoja na Afisa elimu wilyani hapa
mpaka sasa watoto hao wamesema wamepewa kazi ya kutafuta wanachama 20 kila mmoja na sasa kila mjoja alipewa pipi za kuwagawia wanafunzi wenzao na pindi wafanyavyo hivyo watakuwa wameongeza wanachama
HABARI ZITAZIDI KUKUJIA KESHO KIKAO ENDELEA KUFUATIRIA
No comments:
Post a Comment