MAJERUHI WAKISAFIRISHWA KWENDA MBEYA
WATU watano wamepoteza maisha na
wengine 130 wamejuruhiwa vibaya huku hali zao zikiwa mbaya baada ya Lori
walilokuwa wakisafiria shambani kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha
Mapogolo kata ya Itamboleo Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya.
Ajali hiyo imetokea jana saa 1:30
asubuhi ambapo lori hilo ambalo ni mali ya Mwekezaji wa shamba la Kapunga
Rice Project, na kwamba watu hao walikuwa wakielekea kwenye shamba la mwekezaji
huyo lililkuwa limebeba vibarua hao zaidi ya 200 ambao ni wakazi kitongoji cha
Kapunga.
Lori
hilo
lenye namba za uasjili T398 BSE Scania Tipa, ambalo lilikuwa
likiendeshwa na
dereva aliyejulikana kwa jina Baraka Moreli, lilionekana likiwa katika
mwendo kasi na dereva huyo akiwa na lengo la kutaka kuipita
pikipiki iliyokuwa mbele yake huku akishangiliwa na vibarua hao ipite
ipite hiyo pikipiki haiwezi kutushinda sisi gari kubwa moja ya majeruhi
alisema ndipo walipofika kwenye kona dereva lilimshinda gari hilo na
kupinduka
Akiwa Hospitalini hapo Mkuu wa
Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro ambaye aliweza kufika hospitalini hapo alisema
kuwa mara baada ya kupata taarifa ya ajali hiyo kutoka kwa
|
No comments:
Post a Comment