Monday, February 11, 2013

WAISLAMU NA WAKRISTO WACHINJANA HUKO GEITA

Suala la nani achinje nyama limeibua vita kali kati ya wakristo na waislamu wilayani Chato mkoa wa Geita. Vyanzo vyetu vinatuambia mtu mmoja ameshafariki.
Endelea kuwa nasi kwa habari zaidi.ZAID NA:http://www.mwananchi.co.tz

No comments:

Post a Comment