Tuesday, February 12, 2013

UNECEF YAJIPANGA KUTOKOMEZA UKIMWI MAKETE

 MMOJA KATI YA WATEKEREZAJI WA MPANGO WA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA UKIMWI
 Mmoja awa  wafanyakazi wa UNECEF akitoa somo kwa watekelezaji wa mradi huu

shirika la kimataifa la kuhudumia watoto UNECEF limejipanga kutokomeza ugonjwa wa UKIMWI wilaya Makete baada ya kupanga mikakati ya kutokomeza ugonjwa huo kwa vijana kuanzia miaka 8 hadi 24 huku ikijikita juu ya matumizi ya kondom na na kupima kwa ugonjwa huku ikijikita katika kuelisha na kuhamasisha vijana kuhusu matumizi ya kondom.

   mkakati huo unaofadhiliwa na shirika hilo litaweza kurusha vipindi vya kuelimisha na kuhamasisha juu ya matumizi ya kondom kupitia KITULO FM REDIO redio ya jamii iliyoko Makete kwani katika uchunguzi uliofanywa na baadhi ya mashilika unaonyesha wananchi wengi Makete husikiliza redio hiyo .

No comments:

Post a Comment