Wednesday, February 27, 2013

POLISI MAKETE WAUA MTEJA WA NMB



 Jengo la benki hiyo kwa mbali baada ya mpiga picha wetu kuzuiliwa kufika eneo hilo na ulinzi ukiwa umehimalishwa

polisi Makete wamemuua mteja wa NMB aitwae KASTOR SOTE KAWAMBWA mkazi wa Mbarizi jiji Mbeya ambapo  imefahamika alifika akiwa na pikipiki aina ya T betta  mnamo saa moja na nusu jioni kwaajili ya kupata huduma ya atm na ndipo alipo patwa na mauti kwa kupingwa risasi maeneo ya kifuani na pajani  mpaka sasa mwili wa mteja huyo umeifadhiwa katika hospitali ya wilaya Makete .

 huduma za benk (ATM) zilisimama kwa mda wa saa 4 huku polisi wakkiwazuia hata wanahabari ambapo baadhi ya vyombo vya habari walifika maeneo hayo wakiwemo  wanahabari kutoka redio ya kijamii Kitulo fm
  
Habari zaidi zitaendelea kukujia  katika mtandao huu
 

No comments:

Post a Comment