Wednesday, February 27, 2013

MTOTO WA AJABU AZALIWA MWANZA, ANA MIGUU MINNE NA MIKONO MINNE


Mtoto mmoja wa ajabu amezaliwa mkoani Mwanza akiwa na mikono minne na miguu minne hali iliyowashangaza wakazi wengi wa jiji hilo

Hata hivyo kwa mujibu wa mwandishi wa habari Amikus Bwitunga mtoto huyo amefariki dunia muda mchache baada ya kuzaliwa

No comments:

Post a Comment