Thursday, February 28, 2013

MBARONI KWA KUTUPA MTOTO JALALANI

SAKATA LA KUTUPWA MTOTO JALALANI, HOUSE GIRL ATIWA MBARONI


kimara[1]
MTOTO anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja aliyekutwa juzi akiwa ametelekezwa vichakani Kimara Baruti, Manispaa ya Kinondoni, imebainika aliyemtupa alikuwa mfanyakazi wa ndani (hausigeli) katika eneo hilo.

Kuna taarifa zinazodai kuwa, msichana aliyedaiwa kufanya kitendo hicho, alikamatwa juzi na polisi kutokana na taarifa za wasamaria waliomshitukia baada ya kumwona hana ujauzito. Inaelezwa kwamba msichana huyo alikutwa akiwa na hali mbaya kiafya, kutokana na kutokwa na …read more

No comments:

Post a Comment