Sunday, February 10, 2013

KAMA NIPO IRINGA UMEONA EHEEE

Hili ni  jengo  jipya la kisasa  lililopo ilipo kuwa CRDB zamani barabara  ya  kuelekea  Iringa Hotel enzi hizo

 Hili ndilo jengo la Iringa Hotel ambalo kwa  sasa ni kama limekufa

 Hapa ni Miyomboni

 Mji  wa Iringa unavyoonekana ukiwa jiwe Gangilonga
Hili eneo la Mshindo picha  imepigwa kutoka  jiwe Gangilonga
 
 Hili  eneo la kinu  cha usagishaji cha Taifa picha  kutoka jiwe Gangilonga
 Eneo la Wilolesi ukiwa  jiwe Gangilonga

 Hiki ni  kijiwe maarufu  cha Taxi kipo eneo la barabara  ya Iringa Hoteli
 Chakula kinachopendwa  sana Iringa ni Ugali ama  wali na maharage
Kituo  cha radio  ya jamii kinachowaunganisha  wakazi wa mkoa wa Iringa ni Radio Nuru Fm 93.5Mhz ambayo ni radio ya jamii mkoa  wa Iringa

No comments:

Post a Comment